Author: Maliki John

6 Ways to Increase Website Traffic

Many brands are focusing all their efforts on getting higher conversion rates. Don’t get me wrong. That’s extremely important for the success of your company. For the most part, conversions ultimately translate to dollars. They encourage sales and contribute to your bottom line.

Read More

Je, unadhani ni muda gani bora wa kupost mtandaoni?

Mitandao ya kijamii ni mojawapo ya njia bora ya kukuza chapa yako ya biashara lakini hata maudhui unayoyatengeneza. Lakini kuna jambo unapaswa kulizingatia. Haupaswi tu kuchapisha maudhui kwenye mitandao ya kijamii muda wowote unaotaka. Haupaswi kuchapisha maudhui tu kwa sababu umejisikia kufanya hivyo kwa muda huo. Kuna muda ambao ni bora zaidi kuliko muda mwingine.

Read More

Je, unajua jinsi ya kuzalisha wateja kupitia mitandao ya kijamii?

Mfumo wa kibiashara sasa unabadilika kwa kasi, ni wazi hata watu wa masoko nao wanajaribu kuendana na mfumo mpya wa uuzaji na ununuzi wa bidhaaa/huduma. Hakuna shaka kwenye zama hizi za kisasa kuona kuwa sehemu kubwa ya mikakati ya masoko ni matumizi ya mfumo wa kidigitali. Walaji pamoja na wafanyabiashara kwa pamoja daima hushinda mtandaoni. Na moja ya mikakati ya kimasoko ni kusoma tabia za walaji wanapokuwa wanatumia mitandao ya kijamii.

Read More

Subscribe

Recent Tweets

Subscribe To Our Newsletter

Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.

You have Successfully Subscribed!

Pin It on Pinterest