Category: Easter

Our Deep Blog

Stay up to date with our most recent news and updates

Je, unahitaji Website kwa gharama nafuu?

Watu  wengi hudhani kuwa ili umiliki website unapaswa kumiliki biashara au kampuni kubwa. Lakini kwa uhalisia hiyo ni dhana ya kudhani tu. Ukweli ni kwamba hata kama uwe ww ni mpiga picha wa kujitegemea, unamiliki duka la nguo, duka la vifaa mbalimbali, uwe unatoa huduma yeyote ile ni wazi hauwezi kuepuka kumiliki website.

Read More

Ofa ofa afa kabambe usipitwe

NDIO, katika kuzingatia mahitaji mbalimbali ya wafanyabiashara pamoja na wamiliki wa kampuni mbalimbali. Deep Media digital Agency imetoa Ofa kabambe inayokuwezesha kumiliki tovuti (Website) yenye kurasa zisizopungua takribani 5 kwa gharama ya Tsh. 500,000/= tu. Ndani ya siku 5 za utendaji kazi unaweza kumiliki website yako ikiwa imeratibiwa katika hali ya ufanisi zaidi. ofa hii inajumuisha pamoja na huduma mbalimbali kama vile,

Read More
Loading

Subscribe

Recent Tweets

Subscribe To Our Newsletter

Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.

You have Successfully Subscribed!

Pin It on Pinterest