Author: admin

Anza mwaka 2020 kwa kishindo kwenye biashara yako.

Kila mwaka mpya unapoanza unakuja na malengo mapya. Malengo haya yanaweza kuwa ya mtu binafsi, biashara lakini hata kampuni. Msingi mkuu wa malengo haya ndio dira ya mafanikio katika kila jambo ulilolipanga. Hii inamaana kuwa bila kuwa na malengo katika ,ila jambo basi unajiandaa kutofanikiwa katika jambo hilo.

Read More

Je, unajua jinsi ya kujibrand kupitia mtandao wa Instagram?

Unatumia mitandao ya kijamii? Si ndio? Au? Na kama ni ndio, ni mara ngapi umeshawahi kufikiria kwa jinsi gani unaweza kuitumia mitandao hiyo kuimarisha kazi yako? Bila shaka sio mar azote umekuwa ukifikiria hilo. Chukua mfano wa mtandao wa Instagram, mara nyingi umekuwa ukitumia mtandao huu kupost, kulike picha pamoja na kushare picha zile zinazokuvutia.

Read More

Nguvu ya kampeni za mauzo kupitia mitandao ya kijamii

Unajua kuwa zaidi ya 78% ya biashara nyingi kwa sasa zimejikita kwenye mitandao ya kijamii? Asilimia hii ni kubwa zaidi ukilinganisha na miaka mitano iliyopita. Kampeni za mauzo mbalimbali zainazofanywa kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha kuzaa matunda zaidi kuliko zile za namna nyingine. Na hii imekuwa ndio chachu hasa kwa wafanyabiashara kutumia kama njia ya kuongeza mauzo.

Read More

Subscribe

Recent Tweets

Subscribe To Our Newsletter

Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.

You have Successfully Subscribed!

Pin It on Pinterest