Karibu Deep Media Digital Agency ujipatie website bora kwaajili ya biashara yako

Kwa Tshs 450,000/= tu unaweza kumiliki Website ya biashara yako ndani ya siku 5 tu.

Ofa hii inajumuisha yafuatayo

Utapata muonekano wa kipekee kutokana na mahitaji yako

 • Free Domain and Hosting kwa mwaka mzima
 • Page zisifozidi 7 (7 Pages Maximum)
 • 30 Email accounts – Utatengenezewa Barua pepe za kibiashara (Business Email) kwa ajili ya kuboresha biashara yako
 • Analytics tool – Hii ni kwaajili ya kuona na kuratibu idadi ya wanaotembelea website yako ili kukuza wateja wa biashara yako
 • Security – Website yako itawezeshwa na security features ili kujikinga na aina mbali mbali za wadukuzi wa mtandaoni
 • Support and Maintenance kwa kipindi cha mwaka mzima
 • ‘Non-technical web editor’ – Itakurahisishia kufanya mabadiliko kwenye website yako mwenyewe baada ya project kumalizika
 • Live chat with visitors na hasa wateja wa biashara yako
 • Utafanyiwa SEO ya website ya biashara yako – utapatikana kirahisi kupitia google
 • Fully responsive design – Website itakayofunguka kwenye kifaa (device) yoyote, iwe simu, tablet au laptop
 • Free Consultancy, Ushauri wa bure kuhusiana na website

Na huduma nyingine kibao. Hii yote kwa Tsh. 450,000/= tu.
Wasiliana nasi mapema mno kwa namba hii , pia tupo WhatsApp +255 679 247 155