Author: Maliki John

Kwanini utumie Facebook Kutangaza Biashara yako?

Ni wazi mtandao wa facebook unaendelea kutawala katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii.Facebook imekuwa ndio mtandao namba moja ulimwenguni ambao unawaunganisha marafiki na kubadilishana baadhi mambo na taarifa mbalimbali. Zaidi ya kuwa sehemu ambayo marafiki ukutanja, Facebook imekuwa ukumbi wa kutafuta masoko kwenye biashara mbalimbali kwa sasa.

Read More

Hii ndio dawa ya Mteja mkorofi

Amini usiamini, hakuna kitu kinakatisha tamaa au kuchosha kama kuwasiliana na mteja mkorofi. Jambo la mwisho ambalo ungependa kulifanya ni kuendelea kuongea nae tu. Najua ungependa kumuambia ni maneno gani yanafaa kutumika ambayo hayaleti msuguano baina yenu.

Read More

Vidokezo 9 vya Kuendeleza Mkakati wako wa Mauzo na Masoko 2019

Kwa miaka mingi ya sasa intaneti inaongeza fursa ya Mauzo na Masoko katika biashara ili kuwafikia wateja kwa gharama nafuu Zaidi, je unadhani washindani wako kibiashara wamelala hawalijui hilo? Hapana wako wanatafuta wateja na wanafanya matangazo ya biashara kwa wateja ambao wewe umewapa mgongo, wakati wewe ukisubiri hadi mtu apite mbele ya duka lako ndio ajue biashara yako wengine tayari washajua namna ya kuwafikia wateja wa mbali Zaidi na kuwavuta kwenye biashara zao.

Read More

Mikakati 6 madhubuti ya Mauzo ili Kufunga Deals Haraka

Njia ya watumiaji kufanya maamuzi ya manunuzi hubadilika kila mara, kwa hiyo ni muhimu kuendelea kutathmini mkakati wako wa Mauzo na wafanyakazi wako. Kuuza aina yoyote ya bidhaa au huduma inaweza kuwa mstari mzuri kutembelea unapaswa kupata usawa kamilifu kati ya kuwa na ushawishi lakini usiojivunia au kusikitisha.

Read More

Subscribe

Recent Tweets

Subscribe To Our Newsletter

Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.

You have Successfully Subscribed!

Pin It on Pinterest