Kuna kampuni nyingi zinzojihusisha na utengenezaji wa tovuti (Web developer) kwa ajili ya kampuni nyingine ama biashara ya watu wengine nchini Tanzania. Lakini utozaji wa gharama zake utofautiana kutoka kampuni moja ama nyingine. zipo zinazotengeneza tovuti kwa gaharama nafuu na nyingine zaidi

Tovuti ni nini?

Ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za tarakilishi kama vile HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa maudhui ya muundo tofauti tofauti kwa kutumia picha mnato, picha mjongeo, maneno, sauti ikitambulishwa na jina maalum la wavuti  yaani Domain name.

 

Kampuni 5 zinazotengeneza Tovuti kwa gharama rahisi Tanzania

  1. Deep Media

Deep Media ni kampuni inayohusika na masuala ya masoko ya bidhaa au huduma kwa njia ya kidigitali (Digital Marketing Agency). Inamuwezesha mfanyabiashara ambaye ndio mteja wake kumtengenezea thamani ya biashara yake kwa njia ya kidigitali. Utengeneza tovuti kwa gharama nafuu zaidi.

Deep media ni moja ya kampuni inayojihusisha na:-

  • Teknolojia ya habari
  • Uchapishaji
  • Utengenezaji wa Tovuti kwa gharama nafuu
  • Programu za simu
  • Ushauri wa kibiashara na Utafiti
  • Kukuza jina la biashara (Brand awareness)

Katika utengenezaji wa Tovuti, Deep media inamzingatia mteja katika nyanja kuu 3,

  • Utengenezaji wa tovuti kwa gharama nafuu kutokana na makubaliano na mteja
  • Malengo ya biashara au kampuni
  • Hadhira lengwa (Target Audiences)

 

2. Dudumizi

Dudumizi ni kampuni inayojiuhusisha na masuala a masoko mtandaoni ikijikita katika.

  • Kutengeneza Tovuti kwa gharama nafuu
  • Kuendesha Tovuti
  • Kutengeneza programu za simu
  • Kutengeneza jina la wavuti (Domain name)

Utengenezaji wa Tovuti ni wa gharama nafuu ambapo utegemeana na makubaliano ya kampuni na mteja.

  1. REVEC CS

Revec CS ni moja ya kampuni kubwa ya utengenezaji wa Tovuti kwa gharama nafuu na  iliyo na makazi yake jijini Arusha.

Utengenezaji wa Tovuti kwa kampuni ya Revec CS unategemea na matakwa ya mteja na gharama zake nafuu kulingana na matakwa ya mteja kuhusiana na Tovuti yake iweje.

  1. Index technology

Ni kampuni inayojihusisha na utengenezaji watovuti kwa makampuni mengine.

Index technology pia inaendesha tovuti. Utengenezaji na uendeshaji wa tovuti ni kwa gharaa ambazo mteja anaweza kuzimudu (affordable price)

  1. Systemax

Ni kampuni inayojihusisha na upangaji wa mikakati ya kibiashara kwa njia ya kidigitali nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafanyabishara mbalimbali nchini.

Wanajihusisha na

  • Kukuza na jina la baishara (Branding)
  • Kupanga mikakati thabiti ya kibiashara
  • Kutengeneza Tovuti kwa gharama nafuu sana

Systemax utengeneza tovuti kwa kuzingatia matakwa ya mteja au malengo ya mteja tena kwa gharama ambayo mteja ataweza kuimudu

 

Umuhimu wa Tovuti

  • Ni rahisi zaidi wateja kujua kuhusu biashara yako na huduma

unazozitoa.

  • Tovuti inaongeza thamani ya biashara yako
  • Kuleta ushindani na wafanyabishara wengine

Yapo makampuni mengi nchini Tanzania yanayojishughulisha na utengenezaji na uendeshaji wa tovuti

Je unafikiri unahitaji kuwa na tovuti kwa gharama nafuu? Angalia huduma zetu za wavuti. Huduma zetu za wavuti zitakuwezesha kukupa anuani ya tovuti, nafasi ya barua pepe na inakuwezesha kufungua tovuti kwa njia iliyo rafiki na simu yako katika muda mfupi kwa kupitia mifano iliyo tayari ya tovuti zilizosanifiwa