NDIO, katika kuzingatia mahitaji mbalimbali ya wafanyabiashara pamoja na wamiliki wa kampuni mbalimbali. Deep Media digital Agency imetoa Ofa kabambe inayokuwezesha kumiliki tovuti (Website) yenye kurasa zisizopungua takribani 5 kwa gharama ya Tsh. 500,000/= tu. Ndani ya siku 5 za utendaji kazi unaweza kumiliki website yako ikiwa imeratibiwa katika hali ya ufanisi zaidi. ofa hii inajumuisha pamoja na huduma mbalimbali kama vile,

  1. Huduma ya Domain na Hosting bure kwa mwaka mzima
  2. Website yako itakuwa chini ya uangalizi wa Deep Media kwa mwezi mmoja bure. (Maintanace and Support)
  3. Utaweza kumiliki barua pepe za Biashara (Business Email)
  4. SEO bure kwa upande wa tovuti yako
  5. Utaunganishwa na huduma ya moja kwa moja ya kupokea taarifa zote za uchambuzi zinazohusu tovuti yako na biashara yako kwenye tovuti (Analytical report)

KUMBUKA: Ofa hii haiusiani na blogu au tovuti zote za Habari (News Websites)

Wahi sasa ofa hii imetolewa kwa muda mfupi tu. Wasiliana nasi kwa njia ya WhatsApp au kwa kupiga moja kwa moja simu moja kwa moja kupitia nambari yetu ya simu +255 679 247 155