Watu  wengi hudhani kuwa ili umiliki website unapaswa kumiliki biashara au kampuni kubwa. Lakini kwa uhalisia hiyo ni dhana ya kudhani tu. Ukweli ni kwamba hata kama uwe ww ni mpiga picha wa kujitegemea, unamiliki duka la nguo, duka la vifaa mbalimbali, uwe unatoa huduma yeyote ile ni wazi hauwezi kuepuka kumiliki website. Mfanyabaishara au mtoa huduma yeyote yule huwa anawaza namna ya kuifanya biashara yake kuwa kubwa zaidi. Na jibu lake ni moja tu, WEBSITE yaani tovuti. Wafanyabiashara na watoa huduma wote ambao wana ndoto za kukua wanamiliki website.

Sasa kama umeshajua kuwa ni wazi ili uweze kutanua biashara au huduma unayotoa unapaswa kumiliki Website, haupaswi kuangaika kuanza kujiuliza unawezaje kumiliki website ambayo inakidhi matakwa na mahitaji ya biashara au huduma unayotoa.

Kampuni ya Deep media digita Agency ambayo imewafanya wafanyabiashara na watoa huduma wengi kumiliki website zao, sasa imesogeza huduama na kurahisisha upatikanaji wa website. Sasa ni wazi kwa Tsh. 500,000/= unaweza kumiliki website yako ikiwa imekamilika tena kwa siku 5 tu.

Hii itakufanya uweze kumiliki Tovuti yako pamoja na huduma nyingine za ziada kama vile,

  1. Website yako kuwa chini ya uangalizi bila malipo kwa muda wa mwezi mmoja
  2. Kupata Domain na Hosting bure kwa mwaka mmoja
  3. Utatengenezewa Barua pepe za kibiashara (Business Email)
  4. Huduma ya Uchanganuzi wa utendaji kazi wa Tovuti yako kulingana na kile unachochapisha (Analytical report)
  5. Utafanyiwa SEO ya website yako

Na huduma nyingine kibao. Hii yote kwa Tsh. 500,000/= tu. Wasiliana nasi mapema mno kwa namba hii +255 679 247 155 au +255 758 259 234