Kama ilivyo kawaida yetu katika miezi ya awali ya kutoa huduma ya kutengeneza tovuti (website) tumerejea tena kwa msimu huu wa sabasaba. Ofa hii inajumuisha Website zote, iwe ya biashara, Taasisi au Shule.

Ofa inajumuisha

  1. Limited website pages
    • Home page
    • About us page
    • Services page
    • Blog/news
    • Contact us page
  2. SEO

SOMA ZAIDI

Muda wa kutengeneza

Ndani ya masaa 24 website inakuwa online, tunaitengeneza mteja akiwa anaona live maendelea ya website yake na kutoa maoni nini kibadilike mpaka ndani ya masaa 48 website itakuwa imekamilika

Masharti

  1. Ofa haijumuishi blog/website za habari
  2. Ofa haijumuishi website za mauzo/e-commerce

Ni wazi kuwa tumelenga katika kukusogeza kutoka hapo ulipo na kukupeleka juu zaidi. ofa itamalizika tarehe 13 Julai 2019. Hivyo basi ni wajibu wako kama mfanyabiashara, mjasiriamali kutanua wigo wako wa kibiashara. Karibu

Unaweza kuwasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe hiki HAPA au kwa kutupigia simu kwa nambari

0754999198

0758259234

Kuhusu Deep Media

Deep media ni digital agency tunasaidia makampuni na watu binafsi kutumia teknolojia kwenye kuongezea mauzo na kuendesha biashara zao.

unaweza kutembelea baadhi ya kazi zetu kwenye upande wa website kupitia kiungio hiki hapa http://www.deepmedia.co.tz/portfolio/