Je, unafahamu kuwa zaidi milioni 23 ya watanzania wanatumia mitandao mbalimbali ili kufanikiwa katika mambo mbalimbali kila siku? Au unafahamu kuwa idadi ya watumiaji wa mtandao wanaongeza hasa wenye matakwa ya kununua au kuuza bidhaa au huduma?

Deep Media inakusaidia kufanya mabadiliko ya biashara au huduma yako katika Nyanja mbalimbali,

  • Kufahamu fursa mbalimbali katika kutumia uwanja wa kidigitali (Digital Platform)
  • Kuongeza mauzo ya hali ya juu katika biashara yako.
  • Kufanya biashara yako kuwa endelevu

Karibu katika semina yetu fupi ya mtandao inayoletwa kwenu na Aisha ambaye ni Content Strategist hapa Deep Media.

SOMA ZAIDI:

Je, umeshawahi kujiuliza maswali haya?

  • Unawezaje kukuza mauzo ya biashara yako kwa urahisi zaidi hadi kwa 80%?
  • Unawezaje kumshawishi mteja wako kupitia mtandao?
  • Au ni kiasi gani cha wateja unaweza ukatengeneza kupitia mtandao au Nyanja ya kidigitali (digital platform).

Matumizi ya mtandao yanazidi kuchanja mbuga nchini. Suala la Kuuza na kununua bidhaa au huduma kwa njia ya mtandao limekuwa lenye mafanikio makubwa katika nchi yetu.

Kwa maisha ya kawaida tu mtu hutumia mitandao ya kijamii kwa zaidi ya masaa 4 hadi matano kwa siku. Swali la kujiuliza hapo kuwa wanafanya nini kwenye mitandao ya kijamii.

Jibu ni moja tu, wanafanya miamala, wanaweza kubadilisha habari, biashara, bidhaa na hata huduma.

Makapuni mengi yamefanikiwa kutengeneza mauzo ya biashara yake na kukua wa hali ya juu.

  • Amazon ni moja ya makampuni inayotengeneza mabilioni ya pesa kwa kuwa tu imewekeza katika mtandao yaan digital platform inayowakutanisha wauzaji na wanunuaji wa bidhaa na huduma zao.

Upokea zaidi ya milioni 197 ya watu wanaotembelea akaunti zao kila siku.

  • Yelp ni kampuni nyingine ambayo imefanikiwa na inapata zaidi ya wateja milioni 46 kwa mwezi wanaowatembelea na wanaweka mauzo yao kwa asilimia 4 ikiwa na maana kuwa wanazalisha takribani milioni 2 kwa kutumia mbinu pekeee ya kuuza bidhaa.

Mbinu za kutumia katika mfumo wa kidigitali.

  • Kuelewa biashara yako, Hii inakusaidia katika kuwekeza katika mbinu tofauti tofauti za mfumo wa masoko wa kidigitali (Digital Marketing) ili kuhakikisha unapata wateja wengi katika mitandao ya kijamii  na tovuti yako
  • Anza kwa kuhakikisha web page yako na landig page yako ina maudhui ya kutosha na ya kuvutia kwa mteja
  • Tengeneza Subscribers na Database nzuri kwa kutumia maudhui yako pamoja na kuwa mbunifu katika mbinu mbalimbali zitakazokuongoza mfano webinars, survey, Emails marketing
  • Kuwa na Uongozi mzuri ambapo hapa ni kuanzia mwanzo wateja wanapotembelea kurasa za mitandao ya kijamii pamoja na kurasa za tovuti ya biashara yako wanavyoweza kuvutiwa hadi mwisho

Ama hakika haujachelewa, kuwa kwa kwanza kupata bahati hii kwa mwaka 2019, ili uweze kufahamu jinsi ya kuendesha biashara yako kwa mafanikio kwa njia ya mtandao. DEEP MEDIA itakusaidia na kukushauri njia za kutumia hili uweze kuongeza mauzo hadi kufikia 50% mpaka 80%. Tufuate kwenye mitandao yetu ya kijamii na pia kwa mawasiliano zaidi BONYEZA HAPA.